Ukurasa wa Pili
KANSA YA MATITI—Hofu ya Kila Mwanamke 3-13
Kansa ya matiti hushika mamia ya maelfu ya wanawake kila mwaka. Ni nini huisababisha? Je! inaweza kuzuiwa au kuponywa?
Je! Ni Vibaya Nyakati Zote Kuwa na Hasira? 18
Je! kuna pindi ambazo ni vizuri kuwa na hasira na hata ifae?
Je! Suluhisho Ni Kujiua? 23
Vijana wanaweza kusaidiwaje kuona kwamba kujiua si suluhisho la matatizo ya maisha?