Ukurasa wa Pili
Uzoelevu Ni Nini Huusababisha? 3-11
Mamilioni ya watu wana uzoelevu ama wa vitu ama wa utendaji. Ni nini hufanya watu wawe wazoelevu, nao waweza kuushindaje uzoelevu?
Jinsi Watu Wawezavyo Kuishi Pamoja kwa Amani 12
Soma jinsi mwanajeshi mmoja wa wakati wa Vita ya Ulimwengu 2 alivyojifunza somo hili la maana.
Diski-Songamano—Hiyo Ni Nini? 20
Jifunze juu ya matumizi ya ufundi huo wa ajabu, na uone jinsi uwezavyo kunufaika.