Ukurasa wa Pili
Je! Uongoze Maisha Yako kwa Nyota? 3-8
Mamilioni ya watu hutafuta ushauri kutokana na falaki kila siku. Je! nyota zaweza kweli kuongoza maisha zetu? Nyota zina sehemu gani katika Biblia? Twaweza kujifunza nini kutokana nazo?
Michezo ya Kusisimua —Je! Niijasirie? 9
Michezo mingi yahusisha kadiri fulani ya hatari—mingine kuliko mingine. Mkristo apaswa kuonaje kushiriki katika michezo ya jinsi hiyo?
Usiku Mmoja Kwenye Opera 24
Huu ni uelezaji wa sauti tofauti-tofauti na yatukiayo nje ya jukwaa kwenye opera.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jalada: Hisani ya ROE/Anglo-Australian Observatory, picha imepigwa na David Malin
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Lelli & Masotti/Teatro alla Scala