Ukurasa wa Pili
Je, Wajua Mtoto Wako Anacheza na Nini? 3-10
Vichezeo visivyo vibaya vimekuwa sehemu ya maisha za watoto kwa karne nyingi. Lakini je, vichezeo vya leo huwa si vibaya sikuzote? Vichezeo vingeweza kuwa vikiathirije watoto wako?
Nilizoezwa Kuua Sasa, Natolea Watu Uhai 16
Ubaguzi wa rangi na utukuzo wa taifa ziliungana kutokeza ofisa mpinga uvamizi-haramu. Ni nini kilichombadilisha maisha yake yaache kuwa ya kuua yawe ya kutolea watu ujumbe wa kuokoa uhai?
Kiumbe Mwepaji —Mchukiwa Tena Mpendwa 24
Mnyama mzuri huyu ana maadui na marafiki. Kwa nini utofautiano huo? Je, kiumbe mwepaji huyu ataokoka?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Thomas Kitchin