Ukurasa wa Pili
Uvutio wa USHETANI 3-12
Jihadhari! Mungu wayo ni simba anayenguruma akitafuta majeruhi zaidi awameze.
Kwa Nini Kuongea Juu ya Mungu? 13
Vijana walio wengi huamini kuna Mungu lakini husitasita kuongea juu yake. Kwa nini?
Tamasha ya Maua-Mwitu ya Australia 16
Mojapo maonyesho ya maua ya kiasili yaliyo na uzuri wa namna nyingi zaidi ulimwenguni.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kwa hisani ya West Australian Tourist Commission