Ukurasa wa Pili
Wakati Dini Ijiungapo na Vita 3-7
Ni nini matokeo ifanyapo hivyo? Hata hivyo, je, dini zote hujiunga nyakati za vita? Wakristo wa mapema walifanya nini?
Kubuni Kazi Katika Nchi Zinazositawi 16
Wakati kazi ni haba, watu katika nchi zinazositawi waweza kuruzuku familia zao jinsi gani? Hapa pana madokezo yenye kutumika.
Kuhama Magharibi Kuingia Ulaya 19
Jifunze jinsi Ukristo ulivyopelekwa Ulaya na juu ya njia zilizotumiwa kueneza dini huko.