Ukurasa wa Pili
1914—Mipigo ya Bunduki Ambayo Ingali Yatikisa Ulimwengu Wetu 3-11
Kuuawa kwa Dyuki-mkuu Ferdinand wa Austria na pia mke wake kuliongoza kwenye mwanzo wa Vita ya Ulimwengu 1. Ni jinsi gani masuala yaliyowaathiri Wabalkani wakati huo yangali yanatikisa ulimwengu wetu leo?
Wakristo Waikabili Tena Mahakama Kuu ya Yerusalemu 12
Hivi majuzi Shahidi kijana mmoja Mwisraeli alifukuzwa shuleni kwa sababu za dhamiri. Kesi yake ilifanyiwa rufani kwenye mahakama kuu zaidi ya Yerusalemu.
Je, Nimetenda Ile Dhambi Isiyosameheka? 18
Vijana wengi wenye moyo mweupe, na wenye umri mkubwa zaidi pia, huathiriwa sana na dhambi zao na udhaifu wao mbalimbali. Lakini je, kweli dhambi hizi ni zisizosameheka?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
The Bettmann Archive
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha ya jalada: Wazo la mchoraji juu ya kupigwa risasi kwa Dyuki-mkuu Ferdinand; Culver Pictures