Ukurasa wa Pili
Je, Angahewa Letu Laweza Kuokolewa? 3-11
Vichafuzi vimetoboa mashimo katika ngao ya ozoni ya angahewa yetu ya juu zaidi. Kuongezeka kwa halijoto za dunia kumesemwa kwatokana na uchafuzi pia. Jifunze jinsi angahewa letu litakavyookolewa.
Kuwatunza Majeruhi wa Msiba wa Rwanda 12
Soma jinsi Mashahidi wa Yehova wameandaa msaada wa kuwapunguzia shida wakimbizi wa Rwanda.
Kanisa Katoliki Katika Afrika 18
Maaskofu Wakatoliki wakabili uhalisi wa Wakatoliki katika Rwanda na Burundi wa kuchinjana kwa makumi ya maelfu.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jerden Bouman/Sipa Press