Faharisi ya Buku la 75 la Amkeni!
AFYA NA DAWA
Damu Yenye Viini Vibaya Hupewa Wasioganda Damu, 5/22
Kansa ya Matiti, 4/8
Keratotomia ya Nusu-Kipenyo, 9/22
Kitendeshi cha Rh, 12/8
Kusaidia Wale Walio na UKIMWI, 3/22
Kutofanya Mazoezi ya Kimwili, 4/22
Kuumwa na Mgongo, 6/8
Mambo ya Msingi ya Kunyonyesha, 8/22
Maradhi ya Kifumbo ya Guam, 8/8
Maumivu, 6/22
Utafutaji Wenye Kusisimua wa Dawa Zilizo Mpya, 5/8
Uzoelevu, 4/22
DINI
Baraza la Kuhukumu Wazushi Mexico, 10/8
Biblia Husema Yasiyopatana na Hali? 5/22
Harakati ya Muhula Mpya, 3/8
Kanisa Katoliki Katika Afrika, 12/22
Kuzaliwa Upya Katika Mwili Mwingine, 6/8
Maana Halisi ya 1914, 11/8
Mexico Yabadili Sheria Juu ya Dini, 7/22
Mungu Huunga Mkono Upande Wowote Michezoni? 2/8
Sherehe Isiyo na Kifani ya Mnazareti Mweusi, 3/8
Umepata Kujiuliza? (Fumbo Juu ya Nafsi), 1/8
Umepata Kujiuliza? (Fumbo Juu ya Utatu), 9/8
Uongoze Maisha kwa Nyota? 7/8
Ushetani, 9/22
Wakati Dini Ijiungapo, 10/22
Wakristo wa Kweli na Vita, 10/22
Walsingham—Patakatifu Penye Kubishaniwa, 6/22
Wamishonari, 10/8, 10/22, 11/8, 11/22, 12/8, 12/22
MABARA NA WATU
“Barabara Isongayo” ya Kanada Yenye Kuvutia (St. Lawrence), 4/8
Bara la Barafu na Theluji Sikuzote (Kisiwa Baffin), 1/8
Chapa Yako—Sahihi Yako (Taiwan), 5/22
Furoshiki Yenye Matumizi Mengi (Japani), 9/22
Gari-Moshi Lenye “Meno,” 7/8
Kinanda cha Mianzi—Ajabu ya Kimuziki ya Filipino, 10/22
Krakatoa—Maangamizi Yaamkia Tena, 6/8
Maajabu ya Bahari Nyekundu, 10/8
Majumba ya Kifalme ya Moscow Chini ya Ardhi, 6/22
Michezo ya Olimpiki ya Norway, 11/8
Nyumba za Mkate-Tangawizi za Haiti, 8/8
Sherehe ya Sapporo ya Theluji na Barafu (Japani), 2/8
Visiwa Vinavyoelea vya Ziwa Titicaca, 6/22
Visiwa vya Canary, 11/22
Wenyeji wa Australia, 2/22
Yemeni—Nchi Inayoshangaza Sana, 4/22
MAHUSIANO YA KIBINADAMU
Kutunza Wazazi Wazee-Wazee, 2/8
Kuwasiliana Katika Ndoa, 1/22
Maisha ya Familia Yenye Furaha Zaidi Bila Televisheni? 8/22
Matatizo Shuleni, 8/8
Watoto Wagumu, 11/22
Wazazi—Iweni Watetezi! 8/8
Wewe Ni Msikilizaji Mwenye Hisia-Mwenzi? 12/8
MAMBO MENGINE
Dawa za Kulevya, Uwasiliani-Roho, na Biblia, 2/22
Diski-Songamano, 4/22
Historia ya Aisikrimu, 3/22
Ingiza Ucheshi Katika Maisha Yako, 5/22
Jitihada ya Kujenga Handaki, 7/8
Kizungumzio Uwezacho Kula (Fondue), 8/8
Kusaidia Watu Kujua Kusoma na Kuandika, 2/22
Maoni Yenye Usawaziko Kuhusu Elimu, 8/22
Matetemeko ya California, 7/22
Milima, 10/8
Mmwagiko wa Mafuta wa Exxon, 1/22
Pornografia Imo Vyuoni, 7/22
Tarumbeta, 8/22
Umande-Barafu-Sakitu, 11/22
Usiku Mmoja Kwenye Opera, 7/8
Utajiri Kununua Furaha? 6/22
Vichezeo, 9/8
Wewe Ni Mzazi Mwenye Uchangamfu? 12/8
MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
Anga-Hewa Laweza Kuokolewa? 12/22
Baruti za Kutegwa Ardhini—Usumbufu wa Duniani Pote, 8/8
Kutojua Kusoma, 2/22
Kuzorota kwa Adabu, 7/22
Magonjwa ya Kuambukiza, 9/22
Majiji, 1/8, 1/22, 2/8, 2/22, 3/8, 3/22
Mipigo ya Bunduki Ambayo Ingali Yatikisa Ulimwengu Wetu, 11/8
Sarajevo—Kutoka 1914 Hadi 1994, 11/8
Shule Zina Shida Kubwa, 8/8
Tumaini kwa Watoto, 5/8
Ukame Kusini mwa Afrika, 8/8
Wakati Ujao Gani kwa Watoto? 6/8
MAONI YA BIBLIA
Aina ya Talaka Ambayo Mungu Huchukia, 2/8
Biblia Hukataza Uhuru wa Mawazo? 6/8
“Chombo Dhaifu Zaidi”—Kuvunjia Wanawake Heshima? 10/8
Kucheza Kamari Kwafaa Wakristo? 8/8
Kusaidia Mkazo, 9/8
Msaada kwa Kihoro Chako, 3/8
Mtume Paulo Dhidi ya Wanawake? 7/8
Mungu Hutoa Thawabu? 12/8
Ubatizwe Mara ya Pili? 1/8
Vibaya Kuhuzunika? 5/8
Vibaya Nyakati Zote Kuwa na Hasira? 4/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Addie Alipata Jibu (A. Few), 7/22
‘Aliondolewa Gerezani na Kombora la Atomi’ (T. Miura), 10/8
Chile—Nchi Isiyo na Kifani, Mkusanyiko Usio na Kifani, 5/8
Hatukuunga Mkono Vita vya Hitler (F. Wohlfahrt), 10/22
Jinsi Watu Wawezavyo Kuishi Pamoja kwa Amani (H. Lang), 4/22
Kalindwa na Imani Katika Mungu (F. Borys), 2/22
“Kazi Nzuri!” (St. Helena), 3/8
Kufanya Wanafunzi wa Kweli Leo, 12/22
Kutoka Kuwa Hipi Hadi Mishonari (R. Fleet), 3/22
Kuwapa Watoto Majina (Nigeria), 2/8
Kuwatunza Majeruhi wa Msiba wa Rwanda, 12/22
“Kwa Nini Sisherehekei Krismasi,” 12/8
Mahakama Kuu ya Yerusalemu, 11/8
Mahakama Kuu Zaidi ya Ufilipino, 1/8
Maisha Ambayo Singependa Kubadili (M. Kendall), 4/8
Maisha Yawapo Magumu (K. Roberson), 8/22
Miito Migumu ya Maisha Katika Asia ya Kusini (A. Abraham), 1/22
Ndoto ya Maana Sana Iliyotimizwa! (Nigeria), 9/22
Nilijifunza Kuchukia Kile Nilichokuwa Nimependa (O. Nuñez), 6/8
Nilipata Utajiri wa Kweli Katika Australia (G.Katsikaronis)6/22
Nilizoezwa Kuua, Sasa Natolea Watu Uhai (R. Oved), 9/8
Ripota wa Kiev Asifu Mashahidi, 2/22
“Siku ya Mashahidi wa Yehova” (Jiji la Marekani), 6/8
Si Mwamba Wala Kisiwa Tena (L. Rubin), 11/22
Utoro Wangu Kuelekea Kweli (B. Garner), 2/8
Vijana Ambao Hutanguliza Mungu (Suala la Damu), 5/22
Wala Wafanya-Mizungu Wala Miungu (M. Uwasi), 5/8
Wazazi na Watoto Hujifunza Pamoja (Japani), 7/22
SAYANSI
Wanasayansi Wahadaa Umma, 1/8
“Yajifunza kwa Vitu vya Asili” (Biometiki), 4/22
UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
Kubuni Kazi Katika Nchi Zinazositawi, 10/22
Kufuatia Fedha, 3/22
Mfanyakazi Astahili Mshahara Wake? 3/22
Nafuu ya Uchumi wa Meksiko, 3/8
Ufanisi wa Vitu vya Kimwili—Ni Ufunguo wa Ulimwengu Wenye Furaha? 12/8
VIJANA HUULIZA
Akina Mama Wasioolewa, 10/8
Dhambi Isiyosameheka, 11/8
Kifo cha Baba, 8/22, 9/8
Kuacha Kufikiria Jinsia Tofauti, 7/22, 8/8
Kuchezea-Chezea Ukosefu wa Adili, 2/8, 3/22
Kuhama, 2/22, 3/8
Kujiua, 4/8
Kunusa Gundi, 6/22
Kwa Nini Kuongea Juu ya Mungu? 9/22
Kwa Nini Kutii Wazazi Wangu? 12/22
Mahaba kwa Mtu Asiye Mwamini? 5/22
Maisha Maradufu, 1/8, 1/22
Matembezi ya Darasa, 10/22
Mbona Mnene Sana? 4/22
Michezo ya Kusisimua, 7/8
Mitindo, 11/22, 12/8
Naweza Kuachaje Kupenda Mtu Fulani? 6/8
Naweza Kupunguzaje Uzito? 5/8
WANYAMA NA MIMEA
Aligeta—Adimu, Weupe, Wenye Macho-Samawati! 5/22
Bata-Makelele, 8/8
Chiriku, 9/8
Gogota, 1/8
Kasa Majitu Wenye Migongo Minne, 7/8
Kiboko, 10/8
Kiumbe Mwepaji (Mbwa-Mwitu), 9/8
Kokwa Yenye Jina Jipya, 8/22
Mabwawa ya Ulimwengu, 1/22
Magpai, 7/8
Mwari (Pelikani), 5/8
Ndege “Aliyetoweka” Apatikana Tena, 11/8
Ndege-Mpiga-Mbizi Mbeja, 3/22
Ndizi—Tunda la Ajabu, 4/8
Sili wa Maji-Ujotojoto, 10/22
Tamasha ya Maua-Mwitu ya Australia, 9/22
Tembo—Marafiki au Maadui? 3/8
Vipepeo Ni Wenye Sumu? 11/8
Watunza-Nyumba Wadogo Walio Hodari Sana (Siafu), 5/8
Wolfini, 2/22