Ukurasa wa Pili
Je, Hizi Ndizo Siku za Mwisho? 3-11
Kwa kuwa Biblia yalinganika na ramani ya barabara, je, yaonyesha pale tulipo? Je, twaishi katika siku za mwisho? Ikiwa ndivyo, nini kiko mbele? Twapaswa kufanya nini?
Malengelenge—Kukabiliana na Maumivu 12
Malengelenge ni nini? Ni wangapi wanaathiriwa? Ni nini husababisha mteseko huu? Ni nini kiwezacho kuandaa kitulizo?
Zaidi ya Miaka 40 Chini ya Marufuku ya Ukomunisti 18
Wengi wa Mashahidi wa Yehova katika Ulaya Mashariki waliishi chini ya marufuku kwa zaidi ya miaka 40. Soma yaliyoonwa yenye kusisimua ya Mashahidi Wacheki.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: Kwa mzunguko wa saa kutoka juu kushoto, Ndege-vita: picha ya USAF; Cheche ya moto: Tina Gerson/Los Angeles Daily News; Ndege lipuaji: Kwa hisani ya Ministry of Defense, London; Mwanajeshi: picha ya U.S. National Archives (ona pia kurasa 2, 7);UKURASA WA PILI: Mlipuko wa kinyukilia: Picha ya U.S. National Archives (ona pia ukurasa 7); Mtoto mwenye njaa: Mark Peters/Sipa Press (ona pia ukurasa 8)