Ukurasa wa Pili
Lile Fumbo la Mwanabarafu wa Alpine 3-9
Mami iliyoganda iliyopatikana katika Milima ya Italia huandaa vidokezo vingi kwa maisha maelfu ya miaka iliyopita. Mwanabarafu pia ana mazingira ya kifumbo.
Kuvinjari kwa Usalama Ulimwengu Ulio Chini ya Mawimbi 15
Iwe unaogelea kinyambizi ama unaruka mtumbwi, ukifuata kanuni, unaweza kuvumbua ulimwengu wenye kusisimua wa chini ya maji.
Je! Umepata Kujiuliza? 20
Tukikabiliwa na mamia ya dini, madhehebu, na vidhehebu, unaweza kupataje moja ambayo ina ukubali wa Mungu? Utaratibu huu wa kuondoa utakusaidia.