Ukurasa wa Pili
Kuua Mamilioni ili Kufanya Mamilioni 3-13
Vincent van Gogh, Mdachi mpaka-rangi na mvuta-kiko sana, alitokeza kazi hii, yenye mada “Skull With a Cigarette.” Mfululizo wa makala zake huonyesha uhai ambao tumbaku hutwaa leo, hasa katika mataifa yanayositawi, na idadi inayotwaa miongoni mwa wanawake na matineja.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jalada na ukurasa wa 2 juu: Skull With Cigarette: Collectie Vincent van Goghstichting; Van Goghmuseum, AmsterdamUkuzaji Samaki—Samaki Wakiwa “Mifugo” 14
Rasilimali za uvuvi zikiwa zinafyekwa, je, kulima kwa bahari kutaokoa hali?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha: Vidar Vassvik/Norwergian Seafood Export Council
Namna Gani Ikiwa Mzazi Wangu Hatimizi Matakwa ya Kimungu kunitamausha 24?
Naweza kushughulikaje kwa staha na mtu ambaye ameniumiza na kunitamausha?