Ukurasa wa Pili
Nadharia Ambayo Ilishangaza Ulimwengu —Matokeo Yayo Ni Yapi? 3-9
Baada ya Darwin kuchapisha kitabu chake juu ya mageuzi, maoni yake yalikuja kukubaliwa na wengi. Matokeo yamekuwa yapi?
Uzinzi—Kusamehe au Kutosamehe? 10
Wakati mwenzi wa ndoa anafanya uzinzi, je, Mungu humhitaji mwenzi asiye na hatia asamehe?
Zile Katakombu—Zilikuwa Nini? 16
Katakombu zilikuwa nini hasa? Kwa nini zilijengwa?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Haki zote za kunukuu zimehifadhiwa na British Museum
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Life