Ukurasa wa Pili
Uchezaji Kamari—Uraibu Unaoongezeka 3-11
Ulimwenguni pote, ripoti zinaonyesha kwamba tatizo la uchezaji kamari linaenea tufeni pote. Watu huja kwa ndege, gari-moshi, basi, meli, na kwa gari, ili kutosheleza kiu yao ya kucheza kamari. Uchezaji kamari wenye ushurutisho umeitwa “ugonjwa uliofichika, uraibu wa miaka ya 1990.”
Kuchungua Mafumbo ya Uhamaji 15
Katika Kizio cha Kaskazini, watu wa mashambani sikuzote wamekaribisha vijumbamshale kuwa vitangulizi vya wakati wa majira ya jua. Wengine walijiuliza walikoenda vijumbamshale.
Ile Shule ya Kiafrika —Ilifunza Nini? 24
Ilikazia stadi zilizokusudiwa kufaidi familia na jumuiya ya kikabila.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
M. Gibson/H. Armstrong Roberts
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha: Caja Salamanca y Soria