Ukurasa wa Pili
Shule Matatani 3-13
Je, elimu nzuri yawezekana? Uhalifu, jeuri, na ukosefu wa adili katika ngono husababisha matata shuleni. Ni jambo jipi linalofanywa ili kuandaa elimu bora? Wanafunzi na wazazi wanaweza kufanya nini ili kukabiliana na hayo matata?
La Kwanza Katika Mali 14
Soma kile kilichotukia katika mji mdogo wa Sikasso ambacho kilikuwa cha kwanza katika nchi hii ya magharibi mwa Afrika.
Ugumu wa Kuishi na Ugonjwa wa Tourette 20
Jifunze kuhusu ugonjwa wa mfumo wa neva ambao huambatana na mitetemo ya kimisuli na sauti. Je, kuna msaada kwa wagonjwa?