Fahirisi ya Buku la 76 la Amkeni!
AFYA NA DAWA
‘Asante kwa Kunileta Nyumbani, Mama’ (Jeruhi wa Aksidenti), 7/8
Dalili za Kabla ya Hedhi, 8/8
Famasi ya Bahari-Kuu, 9/22
Furahia Kukimbia-Kimbia, 3/22
Hali ya Afya Ulimwenguni, 4/8
Kile Tulichojifunza Kutokana na Andrew (Down’s Syndrome), 12/8
Komahedhi, 2/22
Kufa kwa Mvunjiko wa Moyo?, 10/22
Kutembea Kwenye Mchanga wa Ufuoni, 3/8
Kuua Mamilioni ili Kufanya Mamilioni (Uvutaji Sigareti), 5/22
Kuungua Nishati, 1/8
Kwa Nini Maisha Ni Mafupi Mno?, 10/22
Kweli Chakula Ni Chenye Lishe?, 3/8
Madaktari Walijifunza Kutokana na Hali Yangu ya Kukaribia Kifo, 12/22
Mahali Ambapo UKIMWI Umeenea Sana, 7/22
Maji ya Kunywa, 9/8
Malengelenge, 4/22
Otizimu, 2/8
Pumzi Mbaya, 7/8
Sababu ya Mwili Wako Kuhitaji Usingizi, 6/8
Uchunguzi wa “Damu Yenye Dosari” ya Kanada, 6/8
Ugonjwa Utokanao na Chakula, 11/22
Ugonjwa wa Tourette, 12/22
UKIMWI Katika Afrika, 6/8
UKIMWI—Tahadhari za Wanatiba, 10/8
Upofu wa Mtoni, 10/8
Wakati Ugonjwa Haupo Tena, 4/8
DINI
Baraza la Makanisa Ulimwenguni, 3/22
Jaribio la Makasisi la Kuwafikia Vijana, 5/22
Kanisa la Mormon, 11/8
Kumtafuta Msanii Mkuu Kuliko Wote, 11/8
Kuagizwa Rasmi kwa Wanawake, 7/22
Maana ya Familia Katika Kutaniko la Kikristo, 2/8
Matabiri Bandia au Unabii wa Kweli, 6/22
Ni Nani Ataeneza Evanjeli Katika Uingereza?, 1/22
Sala za Amani Katikati ya Kumbukumbu za Vita, 12/22
Si Sehemu ya Ulimwengu?, 1/8
Umepata Kujiuliza? (Fumbo juu ya Dini ya Kweli), 5/8
Vyanzo vya Kipagani vya Krismasi, 12/8
Watahubiri Mlango kwa Mlango?, 2/22
MABARA NA WATU
Hula—Ile Dansi ya Wahawaii, 12/8
Kosta Rika—Unamna Mwingi, 7/8
Kutoka Kuwa Chupa Hadi Kuwa Shanga (Nigeria), 11/8
Kuzuru Soko la Ngamia la Omdurman (Sudan), 6/8
Maana ya Kinyago cha Kufunika Uso (Afrika), 8/8
Mahali Ambapo Tai Huenda Kula Samaki (Alaska), 11/22
Mashamba ya Mizabibu ya Hungaria, 9/8
Msiba wa Ghafula wa Japani (Tetemeko la Dunia la Kobe), 8/22
Shule ya Kiafrika, 9/22
Wanawake wa India, 7/22
Zanzibar—“Kisiwa cha Vikolezo,” 2/22
MAHUSIANO YA KIBINADAMU
Familia za Mzazi Mmoja, 10/8
Mazungumzo Ni Usanii, 4/8
Ni Nini Kinachomaanishwa na Kuzeeka?, 6/22
Watoto Waliopotea, 2/8
Wewe Huthamini Babu na Nyanya?, 7/8
MAMBO MENGINE
Fashoni—Mtindo wa Kale wa Kigiriki, 3/8
Gari Lako—Kimbilio au Mtego?, 6/8
Katakombu, 8/8
Kioo, 11/22
Kuboresha Kumbukumbu, 10/8
Kupepesa, 10/8
Kusuluhisha Tatizo la Taka Nyingi—Kwa Uozeshaji, 10/22
Kuvinjari kwa Usalama Ulimwengu Ulio Chini ya Mawimbi, 5/8
Kwa Nini Kujenga kwa Mbao?, 10/22
Machozi ya Asili (Umande), 5/22
Mataifa Adui Yaliyoshambulia Israeli, 12/8
Matreshka—Ni Mwanasesere Alioje!, 4/22
Mchezo Huu Unakufaa? (Michezo ya Kompyuta), 5/8
Mdundo wa Kifo (Muziki), 4/8
Nahodha James Cook, 3/22
Nyumba Yenu Ni Yenye Kukinza Tetemeko la Dunia?, 6/8
Pigano la Marathoni, 5/8
Ramani—Mistari Yenye Manufaa ya Kuwaziwa, 3/8
Ramani za Kutimiza Mahitaji Yako, 9/8
Siku ya Valentine, 2/8
Uahirishaji—Mwizi wa Wakati, 4/8
Uanastampu (Ukusanyaji Stampu), 1/8
Ubebaji Vitoto, 12/8
Ukimwa, 1/22
Utendaji wa Kiunabii wa Eliya na Elisha, 12/8
Vilima-Barafu, 12/8
Wali au Mchele?, 1/22
MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
1945—1995, 9/8
Hali ya Afya Ulimwenguni, 4/8
Hizi Ndizo Siku za Mwisho?, 4/22
Maji ya Kunywa, 9/8
Mataifa Maskini Yawa Mahali pa Kutupia Takataka, 11/22
Minyororo na Machozi ya Utumwa, 6/8
Mwanadamu Atapata Kushinda Msiba?, 7/22
Shule Matatani, 12/22
Sikuzote Mataifa Tajiri Yatatumia Vibaya Mataifa Maskini?, 11/22
Si Siri Tena Kamwe (Barua Kuhusu Vita vya Marekani vya Wenyewe kwa Wenyewe), 5/8
Teketezo la Umati—Ni Nani Waliosema kwa Ujasiri?, 8/22
Uchezaji Kamari—Uraibu Unaoongezeka, 9/22
Watoto Waliopotea, 2/8
MAONI YA BIBLIA
Fungu Lako Katika Sala Zako, 9/8
Haidhuru Hata Uamini Nini?, 7/8
Maana ya Uhai, 5/8
Mashindano Katika Michezo Ni Kosa?, 12/8
Mungu Apendezwa Kutuona Tukiteseka?, 3/8
Ni Nani Huenda Mbinguni?, 1/8
Samehe na Usahau—Yawezekanaje?, 6/8
Useja, 2/8
Uzinzi—Kusamehe au Kutosamehe?, 8/8
Viwango vya Mungu Ni Vigumu Mno?, 10/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Aliathiri Maisha Nyingi (K. Roberson), 6/22
Chuki Yangu Iligeuka Kuwa Upendo (L. Wurm), 1/8
Familia Iliyonipenda Kikweli (U. Udoh) 7/22
Fasihi Zathaminiwa Katika Ule Uliokuwa Muungano wa Sovieti, 6/8
Imani ya Joshua (Damu), 1/22
Jinsi Nilivyonufaika Kutokana na Utunzaji wa Mungu (C. Jones), 6/22
La Kwanza Katika Mali, 12/22
Lile Teketezo la Umati—Ni Nani Waliosema kwa Ujasiri?, 8/22
Magazeti Yatoayo Faraja Inayotumika, 1/8
Mahakama Kuu Zaidi ya Kanada Yaimarisha Haki za Wazazi, 11/8
Mahakama Kuu Zaidi ya Norway Yatetea Haki za Kidini, 11/22
Nidhamu Imekuwa Wokovu Wangu (S. Burke), 8/22
Pigano Langu Gumu na Lililo Refu la Kutafuta Dini ya Kweli (K. Malone), 9/22
Risasi Ilibadili Maisha Yangu (G. Williams), 10/22
“Sasa Ni Mia Tu na Yehova” (Damu), 2/22
Seminari za Kuboresha Mahusiano Kati ya Madaktari na Mashahidi, 3/22
Ushindi wa Wachache (Japani), 10/8
Utafutaji Wangu Wenye Mafanikio wa Maana ya Uhai (H. Dies), 5/22
Zaidi ya Miaka 40 Chini ya Marufuku ya Ukomunisti (J. Hálová), 4/22
Ziara ya Kurudi Urusi, 2/22
SAYANSI
Darubiniupeo ya Angani ya Hubble, 9/8
Jeni ya Binadamu, 3/22
Kupatwa kwa Jua, 3/8
Kutumia Nguvu za Upepo, 10/22
Kwa Nini Kuchimba kwa Kina Hivyo?, 5/8
Miamba Inayoruka, 12/8
Mwanabarafu wa Alpine, 5/8
Nadharia Ambayo Ilishangaza Ulimwengu (Mageuzi), 8/8
Ubuni wa Sayansi, 12/8
UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
Yafaa Kujiingiza Katika Deni?, 6/8
VIJANA HUULIZA
Kuboresha Jumla ya Mavazi, 1/22
Kunyoosha Maisha, 1/8
Kuudhiwa Kingono, 8/22
Kuwa Rafiki ya Mungu, 7/22, 11/22
Kwa Nini Kila Mtu Anafunga Ndoa?, 10/22
Kwa Nini Nisiibe?, 6/22
Maonyesho ya Roki, 12/22
Mzazi Asiyetimiza Matakwa, 5/22
Nijifunze Mbinu za Kujikinga?, 9/22
Tumeoana Mapema Mno, 4/22
Ugoni-Jinsia-Moja, 2/8, 2/22, 3/22
Utoaji-Mimba Ndio Suluhisho?, 3/8
WANYAMA NA MIMEA
Bundi-Hudhurungi Aliye Kwenye Ukuta wa Hadrian, 11/8
Chui, 4/8
Fuko, 2/22
Kaanazi, 5/8
Kasuku wa Australia, 3/8
Kifaru, 8/8
Kipepeo-Madoido, 3/8
Kivunjavunja Mwenye Sikio Moja, 4/8
Mafumbo ya Uhamaji, 9/22
Mamba, 3/22
Mchwa—Rafiki au Adui?, 5/22
Megapodi, 1/22
Mkanju Mkubwa Kuliko Yote, 8/22
“Mti wa Uhai” wa Afrika (Mbuyu), 3/22
Nanasi, 10/8
Nyati wa Majini—Mwaminifu na Mwenye Mafaa, 7/22
Nyoka Mla-Panya, 11/22
Nyuki Dhidi ya Kompyuta, 2/8
Okidi Katika Ulaya, 1/22
Todi au Chura—Tofauti, 7/8
Ukuzaji Samaki, 5/22
Umeona Thilasini?, 6/22