Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g96 1/22 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1996
  • Vichwa vidogo
  • Ulimwengu Wote Mzima Wenye Kutisha Ulitoka Wapi? 3-14
  • Makampuni ya Tumbaku Yamo Motoni 18
  • Jihadhari na ‘Macho ya Mtoni’! 24
Amkeni!—1996
g96 1/22 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Ulimwengu Wote Mzima Wenye Kutisha Ulitoka Wapi? 3-14

Kwa nini tupo hapa? Tunaelekea wapi? Ni nini kusudi la yote hayo? Je, nadharia ya mshindo mkubwa inaeleza uumbaji? Darubiniupeo ya Hubble yatokeza maswali, na wanaanga wasema kitu fulani kimekosekana. Ni kitu gani hicho?

Makampuni ya Tumbaku Yamo Motoni 18

Hati elfu mbili zenye kupasisha hatia zilifunuka zikionyesha kwamba hayo makampuni yalijua mengi kuhusu hatari za tumbaku kuliko yalivyokiri.

Jihadhari na ‘Macho ya Mtoni’! 24

Mamba wa Australia wa maji ya chumvi ni mmojawapo mamba wakubwa zaidi na hatari zaidi kati ya aina 12 za mamba ulimwenguni.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Kwa hisani ya Australian International Public Relations

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Mandhari-nyuma ya jalada na ukurasa 2: Kwa hisani ya Anglo-Australian Observatory, picha iliyopigwa na David Malin

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki