Ukurasa wa Pili
Ni Nani Uwezaye Kumtumaini? 3-10
Watu wengi zaidi na zaidi wanaona likiwa jambo gumu kutumaini wengine. Kwa nini? Twaweza kuepukaje kuweka tumaini letu mahali pasipofaa?
Matterhorn wa Kipekee 16
Kutazama mmoja wa milima isiyo ya kawaida zaidi duniani.
Mwenendo wa Kushurutisha—Je, Huo Hudhibiti Maisha Yako? 20
Mwenendo huu usiotakwa na wenye kuvuruga waweza kushindwaje?