Ukurasa wa Pili
Ukosefu wa Kazi ya Kuajiriwa—Kuna Suluhisho 3-11
Kuna angalau watu 820 milioni wasio na kazi au wasio na kazi ya muda wote ulimwenguni pote. Ukifikiria familia zao, je, waweza kuwazia umivu na mteseko ambao jambo hilo lahusisha? Ni nini visababishi vya ukosefu wa kazi ya kuajiriwa? Je, kutapata kuwa na suluhisho?
Wajumbe Sita Kutoka Anga la Nje 12
Ni katika miongo ya majuzi tu kwamba wanasayansi wameweza kufuata wajumbe hawa ambao hufunua mengi mno kuhusu ulimwengu wote mzima wetu. Wao hutuambia nini?
Desturi ya Kale ya Waamerika Wahindi 24
Wakazi wa awali wa Amerika Kaskazini wamesalimika, pamoja na kazi zao za ufundi.