Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g96 4/22 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1996
  • Vichwa vidogo
  • Wakati Vita Havitakuwapo Tena 3-11
  • Nilitawalwa na Imani Katika Mungu Nchini Ukomunisti 12
  • UKIMWI Katika Afrika—Jumuiya ya Wakristo Ina Lawama Kadiri Gani? 19
Amkeni!—1996
g96 4/22 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Wakati Vita Havitakuwapo Tena 3-11

Matumaini ya amani ya ulimwengu hayaonekani kuwa hakika. Ijapokuwa hali ya watu wengi ya kutotarajia mazuri, kwa nini twaweza kuwa na uhakika kwamba ulimwengu usio na vita u karibu?

Nilitawalwa na Imani Katika Mungu Nchini Ukomunisti 12

Ilikuwaje kuwa Mkristo wa kweli chini ya utawala wa Ukomunisti katika Chekoslovakia? Utafurahia ono hili halisi la maisha.

UKIMWI Katika Afrika—Jumuiya ya Wakristo Ina Lawama Kadiri Gani? 19

UKIMWI umekumba Afrika vibaya hasa. Makanisa yana lawama gani kwa jambo hilo?

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Jalada la mbele juu: picha ya U.S. National Archives. Jalada la mbele juu kulia: picha ya WHO iliyopigwa na W. Cutting. Jalada la nyuma juu kulia: picha ya USAF.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki