Ukurasa wa Pili
Wakati Ambapo Kusumbuliwa Kingono Hakutakuwapo Tena! 3-10
Kazini imekuwa ogofyo kubwa kwa wanawake wengi. Mashambulizi ya kuwaaibisha huandamana na usemi mchafu wenye kudokeza ngono. Jitihada za waajiri na hatua ya kushtaki mahakamani zimetokeza matokeo mazuri. Wanawake Wakristo wamepata msaada katika kutumia kanuni za Biblia kwa jinsi wanavyovaa na kwa mwenendo wao.
Mbung’o—Laana ya Afrika? 11
Mbung’o ni adui mwenye nguvu sana, lakini kweli ni mbaya kabisa?
Lahari—Matokeo ya Baadaye ya Mlima Pinatubo 17
Lahari ni matope yaliyochanganyana na mchanga wa kivolkeno ambayo huwa nzito hivi kwamba yawa kama saruji inayoenda. Nayo ni yenye uharibifu sana!
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
©Martin Dohrn, The National Audubon Society Collection/PR