Ukurasa wa Pili
Je, Ni Lazima Tofauti Zitugawanye? 3-8
Wajapokuwa na ujuzi mwingi zaidi kuhusu tamaduni nyinginezo, kwa sababu ya televisheni na urahisi wa kusafiri, watu bado wanaathiriwa na uonevu na ubaguzi. Je, vizuizi ambavyo vingali viko vya mawasiliano na uelewano vyaweza kushindwa?
Majani ya Muhogo—Chakula cha Kila Siku cha Mamilioni 20
Ingawa kuna aina fulani zenye sumu, mmea huu ni muhimu sana kwa wengi katika Afrika. Huo hupikwaje? Ni nini hufanya uwe mtamu?
UFO—Je, Ni Wajumbe Kutoka kwa Mungu? 26
Watu wengine hudai kwamba wamepata kuwasiliana na viumbe vya anga za nje. Jambo hilo laweza kuelezwaje? Biblia inasema nini?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Mountain High Maps® Copyright © 1995 Digital Wisdom, Inc.