Ukurasa wa Pili
Uhuru wa Kusema—Je, Unatumiwa Vibaya? 3-11
Sheria zimepitishwa, vita vimepiganwa, na uhai umepotezwa katika mng’ang’ano wa kuanzisha haki ya uhuru wa kusema. Sasa maoni mapya yanasisitiza kupunguzwa kwa vizuizi vya kutumia vibaya uhuru wa kusema.
Sababu Iliyofanya Abadili Vipaumbele Vyake 15
Soma simulizi lenye kuvutia la aliyekuwa mlinzi wa Minsmere, hifadhi ya maumbile ya asili ya hektari 800 katika Uingereza. Aliacha cheo chake kwa ajili ya mgawo mwingine. Kwa nini?
Kwa Nini Vijana Wengine Hupata Raha Yote? 25
“Twataka kupata raha tu, lakini ni vigumu mno,” akalalamika Jason mwenye umri wa miaka 15.