Ukurasa wa Pili
Lile Tatizo la Wakimbizi—Je, Litapata Kwisha? 3-11
Makumi ya mamilioni yamelazimishwa kutoroka. Maisha huwaje kwa mkimbizi? Kwa nini tatizo hilo laendelea kuwa baya? Suluhisho ni nini?
Je, Nicheze Michezo ya Kompyuta au ya Vidio? 12
Michezo ya kompyuta au ya vidio huonekana kuwa raha isiyodhuru. Je, wajua upande wayo usiofaa? Je, utachagua kwa hekima?
Ugemaji wa Mpira—Kazi Iathiriyo Maisha Yako 18
Mpira hutumiwa katika maelfu ya bidhaa. Huo hutoka wapi, na ni nini huufanya uwe wenye manufaa sana?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jalada: Albert Facelly/Sipa Press