Ukurasa wa Pili
Wahindi wa Amerika—Wakati Wao Ujao Una Nini? 3-16
Kwa miongo mingi sinema za Hollywood zimeonyesha mfano wa pambano kati ya cowboys na Wahindi. Hadithi yenyewe ya Wenyeji wa Amerika inasemaje? Wakati wao ujao una nini?
Je, Makasisi wa Othodoksi Wanakaa Macho? 19
Makasisi wa Othodoksi ya Kigiriki walisherehekea “Mwaka wa Apokalipsi” katika 1995. Sherehe hizo zilionyesha mgawanyiko kati yao.
Pompeii—Mahali Palipobaki Vilevile 22
Kugunduliwa kwa Pompeii chini ya marundo ya jivu kwatupatia mtazamo wenye kushangaza wa maisha ya kale ya Waroma.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha: Garo Nalbandian
Jalada: Mchoro wategemea picha ya Edward S. Curtis
Logo za kurasa 2, 4, 7, na 12: Uso wa Mhindi: D. F. Barry Photograph, Thomas M. Heski Collection; Mhindi anayecheza: Men: A Pictorial Archive from Nineteenth-Century Sources/Dover Publications, Inc.; tepees: Leslie’s; muundo wa mstatili: Decorative Art; miundo ya mviringo: Authentic Indian Designs