Ukurasa wa Pili
Je, Twapaswa Kutoa Hesabu kwa Matendo Yetu? 3-10
Kuna mwelekeo leo wa kutetea mwenendo usiokubalika kwa kudai, “Si kosa langu!” Pia kuna wengi ambao hubisha kwamba tuna mwelekeo ulio katika jeni wa kufuatia mitindo-maisha isiyokubaliwa na hivyo twafanya tu kile kinachokuja kiasili tu.
Tumia Dawa kwa Hekima 11
Si ajabu kwamba Waafrika wana imani kubwa katika dawa. Chanjo zimepunguza kiwango chao cha kifo kwa kutazamisha.
Matumbawe—Yamo Hatarini na Yanakufa 14
Ni maridadi sana! Ni nini kiwezacho kufanywa ili kuyaokoa?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Fiji Visitors Bureau