Ukurasa wa Pili
Je, Kuna Serikali Iwezayo Kumaliza Uhalifu? 3-11
Je, uhalifu umewahi kukupata au kupata wapendwa wako? Hata kama haujakupata, bado utafurahi kujua kwamba karibuni kuna serikali itakayomaliza uhalifu. Lakini jinsi gani? Na ni serikali ipi?
Msafiri Dhaifu Lakini Hodari 15
Vipepeo ni viumbe maridadi. Aina moja huhama maelfu ya kilometa.
Anemia ya Sickle-Cell—Ujuzi Ndio Kinga Bora Zaidi 22
Ni nani hupatwa nayo? Ni nini kiwezacho kufanywa kuihusu?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Parks Canada/J. N. Flynn
Kuba ya jalada na ya ukurasa 2: Picha ya U.S. National Archives