Ukurasa wa Pili
Maradhi ya moyo—Ni Nini Kinachoweza Kufanywa? 3-13
Ni nini ambacho husababisha mishiko (maradhi) ya moyo? Waliopatwa na mishiko ya moyo na wapendwa wao waweza kukabilianaje na hali? Ni nini kinachoweza kufanywa ili kupunguza hatari?
Ujitiisho wa Mke—Wamaanisha Nini? 14
Neno la Mungu husema nini kuhusu ujitiisho wa mke kwa mume wake?
Pulatipasi wa Kifumbo 16
Hiki kiumbe kidogo chenye haya, ambacho kimeshangaza sayansi ni kitu gani hasa?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Leslie’s
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kwa hisani ya Healesville Sanctuary