Ukurasa wa Pili
Waweza Kushughulikiaje Fedha Zako? 3-12
Karibu wamiliki 3 kati ya 4 wa kadi za mkopo katika Marekani hununua vitu kwa mkopo ambao wao hulipa nusu-nusu kwa viwango vikubwa sana vya riba. Utozwaji huo wa fedha huwa wa juu kiasi gani? Waweza kujiepushaje na deni?
Machinjo Katika Port Arthur—Kwa Nini Yalitokea? 16
Mtu mwenye bunduki aliua watu wengi zaidi kwa sekunde chache kuliko wale waliokuwa wameuawa kimakusudi kwa miaka minne katika Tasmania nzima. Ni nini kisababishacho jeuri kama hiyo?
Niliimarishwa Kukabili Majaribu Yaliyokuwa Mbele 19
Soma simulizi la maisha lenye kusisimua la Edward Michalec, ambaye alitumia zaidi ya miaka 50 akiwa mishonari Bolivia