Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g97 1/22 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1997
  • Vichwa vidogo
  • Ustahimilivu—Je, Ulimwengu Umepita Kiasi? 3-9
  • Everglades ya Florida—Kilio cha Dharura Kutoka Porini 13
  • “Niwapo Dhaifu, Ndipo Niwapo Mwenye Nguvu” 23
Amkeni!—1997
g97 1/22 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Ustahimilivu—Je, Ulimwengu Umepita Kiasi? 3-9

Ustahimilivu huhitaji usawaziko, na kudumisha usawaziko ufaao si rahisi. Sisi ni kama pinduli ya saa, tukibembea kutoka upande mmoja hadi ule mwingine. Nyakati fulani twaonyesha ustahimilivu mchache sana; nyakati nyingine, ustahimilivu mwingi sana.

Everglades ya Florida—Kilio cha Dharura Kutoka Porini 13

Wanamazingira wenye hangaiko wanatokeza onyo kwamba Everglades inakufa. Je, huu “mto wa nyasi” wenye kutokeza waweza kuokolewa?

“Niwapo Dhaifu, Ndipo Niwapo Mwenye Nguvu” 23

Wakati watu wasiojiweza wajikakamuapo sana katika utumishi wa Yehova, wao hupata “nguvu ipitayo iliyo ya kawaida.”—2 Wakorintho 4:7.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki