Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g97 2/22 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1997
  • Vichwa vidogo
  • Msaada kwa Watoto Wenye Kasoro za Kujifunza 3-10
  • Kweli Kuhusu Kusema Uwongo 17
  • Mikusanyiko ya Rumania Yafanywa Japo Upinzani 24
Amkeni!—1997
g97 2/22 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Msaada kwa Watoto Wenye Kasoro za Kujifunza 3-10

Ni zipi kasoro za kawaida za kujifunza? Ni nini kisababishacho Tatizo la Upungufu wa Makini Kutokana na Utendaji wa Kupita Kiasi? Watu waweza kulikabilije?

Kweli Kuhusu Kusema Uwongo 17

Kama vile tu chombo cha kuwekea maua kiwezavyo kuvunjika-vunjika kikiangushwa, ndivyo uhusiano wenye thamani uwezavyo kuharibiwa na kusema uwongo. Ni kweli gani kuhusu kusema uwongo tupaswayo kujua?

Mikusanyiko ya Rumania Yafanywa Japo Upinzani 24

Mwanzoni Rumania ilinyima Mashahidi wa Yehova ruhusa ya kufanya mikusanyiko. Kwa nini? Na kwa nini waliruhusiwa baadaye?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki