Ukurasa wa Pili
Ulaji Wako—Sababu ya Kukufanya Uuhangaikie 3-13
Ni nini hatari za kiafya za kuwa mzito kupita kiasi? Ulaji wako huathirije uwezekano wa kupatwa na maradhi ya moyo? Ni nini msingi wa ulaji wenye afya?
Vito vya Kingo za Mto 16
Dansi zao za hewani ni zenye kuvutia. Pata kujua kwa nini wahandisi wa ndege wanajifunza ufundi wao wa kuruka.
Utafutaji Wetu wa Haki 19
Kile ambacho wenzi wa Mexico, ambao wakati mmoja walichukizwa na ukosefu wa haki wa kijamii, wamejifunza kutokana na maono yao ya mapema maishani.