Ukurasa wa Pili
Ni Nani Atakayeokoa Wanyama Wetu? 3-11
Fahamu ni kwa nini maelfu ya wanyama wanatoweshwa. Huko kutoweka kutazuiwaje?
Kwa Nini Almasi Ni Ghali Mno? 12
Almasi yenye thamani sana hutengenezwaje? Jibu lasaidia kujua ni kwa nini ni ghali.
Je, Watoto Wako Salama Wakiwa na Mbwa Wako? 20
Unaweza kufanya nini ili kulinda mtoto wako dhidi ya mbwa mkali? Je, hilo ni daraka la mwenye mbwa pekee?