Ukurasa wa Pili
Internet—Je, Yakufaa? 3-13
Ni njia ya kuingia katika ulimwengu wa vyanzo vya habari vionekanavyo kuwa havina mwisho. Wengine huirejezea kuwa njia kuu bora ya habari. Je, wewe binafsi unaihitaji? Je, kuna sababu za kutahadhari?
Kwa Nini Sikuzote Ni Kosa Langu? 18
Je, yaonekana kwamba haidhuru ni kosa gani latukia, ni wewe utakayelaumiwa? Waweza kushughulikaje na uchambuzi usio wa haki?
Mitindo-Maisha Yenye Kudhuru Afya—Inagharimu Kadiri Gani? 24
Watu wengi wanalazwa hospitali kwa sababu ya maradhi na majeraha ambayo yangaliweza kuepukwa. Kisababishi ni nini? Mitindo-maisha yenye kudhuru afya.