Ukurasa wa Pili
Uwasaidie Watoto Wako Wasitawi 3-11
Ili watoto wasitawi, wao wahitaji mazingira mazuri ya kihisia-moyo. Wazazi wanaweza kuyaandaaje?
Chakula cha Kuwatosha Wote—Je, Ni Ndoto Tu? 12
Je, idadi ya watu inayozidi kuongezeka duniani inaweza kulishwa ifaavyo huku wengi sana wakiwa na njaa sasa?
Mafigo Yako—Chujio la Kutegemeza Uhai 24
Mafigo yako hufanyaje kazi? Makala hii ya kuvutia itakuambia.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Dorothea Lange, FSA Collection, Library of Congress