Ukurasa wa pili
Shida ya Maji—Tatizo la Tufeni Pote 3-11
Kwa nini kuna shida? Suluhisho ni nini?
Via Egnatia—Barabara Kuu Iliyosaidia Kuleta Mpanuko 16
Barabara kuu ya Roma iliyojengwa kwa ajili ya upanuzi wa kijeshi pia ilileta manufaa za kiroho kwa Wamakedonia.
Mashahidi wa Yehova Nchini Urusi 22
Soma jinsi mwanatheolojia mmoja Mrusi alivyorekebisha mawazo kadhaa mabaya kuhusu Mashahidi wa Yehova.