Ukurasa wa Pili
Jihadhari na Walaghai! 3-10
Wao ni wapunjaji werevu walio stadi, ambao hutumia watu kwa kujifaidi na kudanganya. Uwe mwangalifu—unaweza kuwa lengo lao lifuatalo! Wao hutendaje? Unaweza kufanya nini ili kujilinda?
Duma—Paka Mwenye Mbio Zaidi 15
Ni nini humwezesha mnyama huyu mzuri mwenye madoadoa kukimbia kama upepo? Ni nani aliye adui mkubwa zaidi wa duma?
Uwezo Wako wa Kusikia—Zawadi ya Kuthaminiwa Sana 21
Uwezo wako wa kusikia ni njia muhimu ya kuwasiliana na ulimwengu ambao umekuzunguka. Je, unauchukua kivivi-hivi?