Ukurasa wa Pili
Kelele—Kichafuzi Chetu Kibaya Zaidi? 3-11
Je, wapata ikiwa vigumu kuepuka kelele ya daima? Je, waudhiwa na kelele? Wewe ni mmoja wa mabilioni wanaoteseka kutokana na kichafuzi hiki cha kisasa. Waweza kupataje kitulizo?
Mtu Aliyeufungua Ulimwengu 12
Kila mtu amesikia kumhusu Columbus. Lakini ni nani aliyekuwa baharia wa kwanza kulizunguka tufe? Alikuwa mvumbuzi hodari Mreno. Ni majaribu gani aliyoyakabili? Alikufaje?
Je, Umaskini Ni Sababu Halali ya Kuiba? 18
Watu wengine hubisha kwamba ili kuokoka umaskini, lazima waibe. Je, Biblia hukubali maoni hayo?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Robin Hood: General Research Division/The New York Public Library/Astor, Lenox and Tilden Foundations