Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g97 12/22 uku. 31
  • Faharisi ya Buku la 78 la Amkeni!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Faharisi ya Buku la 78 la Amkeni!
  • Amkeni!—1997
  • Vichwa vidogo
  • AFYA NA DAWA
  • MABARA NA WATU
  • MAHUSIANO YA KIBINADAMU
  • MAMBO MENGINE
  • MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
  • MAONI YA BIBLIA
  • MASHAHIDI WA YEHOVA
  • MASIMULIZI YA MAISHA
  • SAYANSI
  • UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
  • VIJANA HUULIZA
  • WANYAMA NA MIMEA
Amkeni!—1997
g97 12/22 uku. 31

Faharisi ya Buku la 78 la Amkeni!

AFYA NA DAWA

Hekima ya Kuepuka Ngono na Kufunga Ndoa na Mwenzi Mmoja, 5/22

Kichocho, 2/22

Kifua Kikuu, 12/22

Kugugumiza, 11/22

Kulinda Afya ya Watoto, 9/22

Mafigo, 8/8

Magonjwa ya Kuambukiza, 11/22

Malaria, 7/22

Mazoezi ya Mwili Yenye Kupita Kiasi, 9/8

Mitindo-Maisha Yenye Kudhuru Afya, 7/22

Ninafurahi Kuwa Hai! 4/22

Njia za Kulinda Afya, 11/22

Nyayo Zinazouma, 10/8

Osteoporosis, 6/8

RSD—Ugonjwa wa Kukoroweza na Wenye Maumivu, 9/8

Ulaji, 6/22

Utunzaji, 2/8

DINI

Dini Vitani, 4/22

Kanisa Katoliki na Mageuzi, 10/22

Kesi na Kufishwa kwa “Mzushi,” 5/8

Krusedi, 10/8

Mungu—Ni Mcheza-Kamari au Muumba? 5/8

Njaa ya Kiroho Katika Rumania, 4/22

Pigano la Biblia ya Kifaransa la Kuokoka, 12/8

MABARA NA WATU

Bonde Kuu la Ufa, 7/22

Brunost—Jibini Tamu ya Norway, 7/8

Cuzco—Jiji Kuu la Kale la Wainka, 9/8

Kaba—Mtindo wa Mavazi Wenye Madaha wa Kiafrika, 9/8

Kilimanjaro—Kilele cha Afrika, 9/8

Kisiwa Cocos—Hazina Zilizozikwa (Kosta Rika), 9/22

Maisha Huko Chini (Australia), 10/8

Matera—Jiji la Makao ya Pangoni (Italia), 7/8

Mbilikimo, 12/8

Miziki Didjeridu (Australia), 4/22

Moscow, 12/22

Msitu wa Mvua wa Amazon, 3/22

Ngoma za Kiafrika, 7/22

Nguvu Kutokana na Theluji (Australia), 10/22

Njaa ya Kiroho Katika Rumania, 4/22

Opera Katika Msitu (Brazili), 5/22

Popocatepetl—Volkeno ya Mexico, 3/8

Singapore—Kito cha Asia Kilichopoteza Mng’ao, 6/8

Tasmania, 5/8

Uchongaji wa Vinyago—Sanaa ya Kiafrika ya Kale, 9/22

Vita vya Dini Katika Ufaransa, 4/22

Waetruria—Fumbo Linalodumu, 11/8

MAHUSIANO YA KIBINADAMU

Ghadhabu za Barabarani (uendeshaji wenye hasira), 11/22

Jeuri Dhidi ya Wanawake, 1/8

Kugugumiza, 11/22

Kweli Kuhusu Kusema Uwongo, 2/22

Malezi ya Mtoto, 12/8

Marafiki Kama Chanda na Pete (mbwa wa kuongoza kipofu), 4/22

Mshangao Wenye Kusisimua (mwenye kuasilishwa), 2/22

Ni Nani Aliye Mzazi? Mtoto? 10/8

Ombi Kutoka Moyoni (uasilishaji), 3/8

Ustahimilivu Umepita Kiasi? 1/22

Utunzaji, 2/8

Uwasaidie Watoto Wako Wasitawi, 8/8

Watoto Wenye Kasoro za Kujifunza, 2/22

MAMBO MENGINE

Biblia Katika Lugha ya Maisha ya Kila Siku, 4/8

Bustani ya Duniani Pote, 4/8

Hesabu Gharama za Kuhama! 5/8

Internet, 7/22

Je, Wajua? 2/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8

Jikoni Kwaweza Kuvutia, 1/8

Kugema Mawingu, 10/8

Kwa Nini Almasi Ni Ghali Mno? 7/8

“Makosa Saba ya Ulimwengu,” 1/8

Mbuga za Taifa za Milimani, 11/22

Mtu Aliyeufungua Ulimwengu (Magellan), 11/8

Ni Nini Huwafanya Watu Wawe Wenye Furaha? 10/22

Paradiso Isiyo na Taabu, 10/8

Reli za Chini ya Ardhi, 3/22

Spreso—Kahawa Bora, 11/8

Uchovu—Mtego wa Madereva wa Lori, 8/8

Via Egnatia (Barabara kuu ya Roma), 8/22

MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU

Bara Ligeukapo Kuwa Jangwa, 2/8

Chakula cha Kuwatosha Wote—Ni Ndoto Tu? 8/8

Chernobyl, 4/22

Jeuri Dhidi ya Wanawake, 1/8

Kelele, 11/8

Kunyanyasa Watoto Kingono, 4/8

Kwa Nini Kuna Chuki Sana? 9/8

Magonjwa ya Kuambukiza, 11/22

Mambo Ambayo Vita Huwafanyia Watoto, 10/22

Mwenendo wa Kingono —Mitazamo Inayobadilika, 6/8

OSCE—Hilo Ni Nini? 8/22

Pupa—Inavyotuathiri, 1/8

Shida ya Maji, 8/22

Uhalifu Uliopangwa, 3/8

Vitumbuizo, 5/22

Walaghai, 9/22

Wanawake, 4/8

MAONI YA BIBLIA

Dunia Itachomwa Moto? 1/8

Furiko—Kweli au Hekaya? 2/8

Kujinyima Sana Raha na Anasa Ndio Ufunguo wa Kupata Hekima? 10/8

Kwa Nini Udhibiti Hasira Yako? 6/8

Lugha Chafu Haifai Wakristo, 6/8

Ndoa Yaweza Kuokolewa Baada ya Ukosefu wa Uaminifu? 4/8

Ni Vibaya Kula Nyama? 8/8

Sayansi na Biblia Zaafikiana? 7/8

“Si Sehemu ya Ulimwengu,” 9/8

Umaskini Ni Sababu Halali ya Kuiba? 11/8

Wakristo Wachukie Wagoni-Jinsia-Moja? 12/8

Wakristo Wapaswa Kuwa Wapinga-Vita? 5/8

Watoto Wapaswa Kuchagua Dini? 3/8

MASHAHIDI WA YEHOVA

“Afukuzacho Kuku Kwenye Mvua” (Nigeria), 5/22

Barabara ya Emmy Zehden, 1/22

“Ebu Fumbua Tu Macho Yako Uone” (insha ya kijana wa shule), 6/22

Kigezo cha Kuiga, 4/22

Marafiki Kama Chanda na Pete (A. Evaldsson), 4/22

Mikusanyiko ya Rumania, 2/22

“Mwanga Katika Enzi Yenye Giza” (wonyesho wa kwanza wa vidio Stand Firm), 6/22

Urusi, 8/22

Wajumbe wa Amani Katika Ulaya Mashariki, 3/8

Watetewa Katika Ugiriki, 3/22

MASIMULIZI YA MAISHA

Hatimaye Nilipata Kweli (E. Szanyi), 4/8

Kitu Bora Kuliko Kuwa Mashuhuri Ulimwenguni (C. Pertot), 8/22

“Kubaliana na Mteja Sikuzote” (W. Chin), 12/22

Kupanda kwa Machozi, Kuvuna kwa Shangwe (R. Kirkup), 2/8

Maisha Yangu Yalikuwa Muziki, Dawa za Kulevya, na Unywaji (B. McKerchie), 1/8

Masikio ya Kitoto (L. Lawson), 6/8

Miungu Mingi Sana, Hadi Nikapata Yule wa Kweli (C. Bright), 5/22

Mshangao Wenye Kusisimua (D. Folz), 2/22

Nilikuwa Yakuza (Y. Kataoka), 3/8

Ninafurahi Kuwa Hai! (G. Klauss), 4/22

“Niwapo Dhaifu, Ndipo Niwapo Mwenye Nguvu” (L. Maass), 1/22

Somo Kutokana na Chungu cha Mafuta (K. Hahn), 10/22

Utafutaji Wetu wa Haki (A. Villa), 6/22

Yehova Alinyoosha Njia Yetu (J. Heggli), 12/8

SAYANSI

Kuruka kwa Wadudu, 9/22

Kuzaliwa kwa Nyota Katika “Kiota” cha Tai, 3/8

Mafigo, 8/8

Msingi wa Mageuzi Wakosekana? 5/8

Nyotamkia Yagonga Sumbula, 1/8

Tulikujaje Kuwapo? 5/8

“Udanganyifu Mbaya Zaidi wa Kisayansi,” 7/8

“Upatano Wenye Kulingana Kabisa” (usemi), 9/8

Usanidimwanga, 1/22

Uwezo wa Kusikia—Zawadi ya Kuthaminiwa, 9/22

UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA

Wachoshwa na Kazi? 12/22

VIJANA HUULIZA

Kuchuma Pesa, 9/22

Kudhulumu—Kuna Ubaya Gani? 3/22

Kulaumiwa, 7/22, 8/22

Kuwa Mgonjwa, 4/22, 6/22

Kuwa Rafiki ya Mungu, 2/22

Kwa Nini Ndugu Anapata Uangalifu Wote? 10/22

Mungu Ataendelea Kuwa Rafiki Yangu? 5/22

Niungame Dhambi Yangu? 1/22

Rave Ni Raha Isiyo na Madhara? 12/22

Upendeleo, 11/22

WANYAMA NA MIMEA

Albatrosi, 6/22

Bustani, 4/8

Bustani za Wanyama, 7/8

Chewa-Ulaya, 11/22

Duma, 9/22

Everglades, 1/22

Korongo Wenye Taji, 10/22

Kunguru, 1/8

Kuokoa Wanyama, 7/8

Kuruka kwa Wadudu, 9/22

Kuza Machipukizi Yako Mwenyewe, 2/8

Maua Huonyesha Kwamba Mtu Fulani Anajali, 3/8

Miamba ya Matumbawe, 8/8

Miayo ya Wanyama wa Pori, 8/8

Mtunza-Bustani Stadi (chungu mkata-jani), 3/22

Ni Wakati Gani Nyuki Si Nyuki? 12/8

Pilikapilika za Kujaa kwa Maji (ndege katika milango-mto), 3/22

Ufugaji wa Nyuki, 5/22

Usalama Barabarani kwa Ajili ya Wanyama wa Pori, 9/8

Usingizi wa Wanyama, 10/8

Vito vya Kingo za Mto (kereng’ende), 6/22

Watoto Wako Salama Wakiwa na Mbwa Wako? 7/8

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki