Ukurasa wa Pili
Hangaiko la Habari—Lakuathirije? 3-12
Habari hutububujikia kila siku—kupitia televisheni, Internet, magazeti ya habari, redio, magazeti, na barua tusizohitaji. Kuna mengi mno ya kushughulikia. Idadi yatatanisha. Waweza kufanyaje kuihusu?
Jinsi Wainka Walivyopoteza Milki Yao Yenye Fahari 13
Ustaarabu wenye kushangaza ulikuwapo katika Amerika Kusini wakati watekaji Wahispania walipofika karibu na mwaka wa 1532. Ustaarabu huo uliporomokaje?
Mahakama ya Ulaya Yasahihisha Ukiukwaji wa Sheria 19
Mashahidi wa Yehova wachanga Wagiriki wamevumilia udhalimu mzito. Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu imetoa maamuzi ya haki.