Ukurasa wa Pili
Watoto Waondokapo Nyumbani 3-12
Hapana budi siku moja, watoto wengi wataondoka nyumbani. Wazazi waweza kuwatayarishaje watoto wao kwa ajili ya siku ambayo watatoka kuishi peke yao? Na mara watoto wachukuapo hatua hii, wazazi wanaweza kushughulikaje na hali wakiwa hawapo?
Jinsi Ninavyokabiliana na Kugugumiza 13
Mwenye kigugumizi asimulia magumu ambayo amekabiliana nayo tangu mapema utotoni.
Georgia—Urithi wa Kale Uliohifadhiwa 24
Nchi nzuri ambapo watu fulani huishi kufikia miaka 100 na zaidi!
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Pat O’Hara/Corbis