Ukurasa wa Pili
Magenge ya Mitaani Tatizo Linalokua la Ulimwengu 3-11
Kwa Nini Vijana Wengi Sana Hujiunga Na Magenge? Kwa Nini Ni Vigumu Sana Kujiondoa Kutoka Kwenye Genge? Unaweza Kuwalindaje Watoto Wako Na Magenge?
Uvutio wa Vitabu Vidogo Sana 13
Vitabu hivi ni vidogo kadiri gani? Kwa nini ni vidogo namna hiyo? Vimethibitikaje kuwa vyenye thamani kwa Wakristo?
Kupigania Kwetu Haki ya Kuhubiri 20
Grace Marsh alihusika katika ushindi wa Mahakama Kuu Zaidi ya Marekani ambao ulisaidia kuimarisha uhuru wa ibada. Soma simulizi lake lenye kuvutia.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Kwa idhini ya British Library (C.17.b.10/35)