Ukurasa wa Pili
Je, Misitu Yetu ya Mvua Yaweza Kuokolewa? 3-13
Misitu Ya Mvua Ya Ulimwengu, Mali Iliyo Rahisi Kuharibika Na Iliyo Muhimu, Inaporwa. Wengi Huona Hili Kuwa Kitisho Kwa Ikolojia Ya Dunia Na Kwa Kuwako Kwa Mwanadamu. Je, Kuna Kitatuzi?
Safari Yangu Ndefu Kutoka Katika Uhai na Kifo Katika Kambodia 16
Wathana Meas alikuwa mtawa wa kiume wa dini ya Buddha na baadaye ofisa katika jeshi la Kambodia. Hadithi yake ni safari ndefu yenye kuvutia ya kuokoka.
Mwaka wa 2000 Ni Wenye Maana Kadiri Gani? 20
Je, Biblia hulenga mwaka wa 2000? Je, Wakristo wapaswa kuhangaika kuhusu tarehe hiyo?