Ukurasa wa Pili
Matangazo ya Biashara—Yanakuathirije? 3-9
Jifunze Jinsi Ambavyo Matangazo Ya Biashara Hutenda Na Jinsi Yawezavyo Kukushawishi.
Upasuaji Bila Damu—Manufaa Yake Yatambuliwa 10
Karibu kila mahali madaktari wanapendekeza upasuaji bila damu. Jifunze ni kwa nini.
Msiba wa Barafu 16
Dhoruba ya barafu yenye madhara makubwa ya Amerika ya Kaskazini na jinsi ambavyo watu walikabiliana na hali. Sisi tunaweza kuathirikaje na vitu vya asili?