Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g98 9/22 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—1998
  • Vichwa vidogo
  • Maradhi ya Alzheimer—Kupunguza Maumivu 3-13
  • Naweza Kukazaje Fikira? 18
  • “Reli ya Kichaa” ya Afrika Mashariki 21
Amkeni!—1998
g98 9/22 uku. 2

Ukurasa wa Pili

Maradhi ya Alzheimer—Kupunguza Maumivu 3-13

Maradhi hayo yameitwa “ugonjwa mkuu wa kudumu wa watu wazee.” Ingawa mwanzo-mwanzo wa maradhi ya Alzheimer hauna maumivu, haya yanaweza kutokeza maumivu mengi sana ya kihisia-moyo. Washiriki wa familia wanaweza kukabilianaje na hali ya kumtunza mgonjwa?

Naweza Kukazaje Fikira? 18

Jifunze jinsi kwa jitihada kidogo tu na rekebisho kidogo tu la mtazamo, unavyoweza kuboresha uwezo wako wa kukaza fikira.

“Reli ya Kichaa” ya Afrika Mashariki 21

Masimulizi ya kujengwa kwa reli inayokaribia kilometa 1,000 ni mojawapo ya masimulizi yenye kuvutia sana ya Afrika.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Kenya Railways

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki