Ukurasa wa 2
Vita Dhidi ya UKIMWI—Je, Itashinda? 3-9
UKIMWI huambukizwaje? Ni wapi ambapo sasa umeenea sana? Je, unaweza kushindwa? Makala za utangulizi zajibu maswali haya na mengineyo.
Madaraja—Hali Ingekuwaje Bila Madaraja? 10
Tunayachukulia kivivi hivi. Lakini, maisha yangekuwa tofauti kama nini bila madaraja! Yana historia gani? Kwa nini yana miundo inayotofautiana?
Kufanyia Wanyama Ukatili—Je, Ni Vibaya? 26
Mapigano ya mbwa, ya majogoo, ya farasi, kupigana na mafahali—ukatili kwa wanyama umekuwa kitumbuizo cha wanadamu kwa maelfu ya miaka. Biblia husema nini juu yake?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: Chad Slattery/Tony Stone Images (Model is not associated with subject matter.)