Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g98 11/22 uku. 2
  • Ukurasa wa 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa 2
  • Amkeni!—1998
  • Vichwa vidogo
  • Je, Haki za Kibinadamu Zitawahi Kupatikana kwa Wote? 3-14
  • Amri ya Nantes—Je, Ilikuwa Mkataba wa Uvumiliano? 19
  • Baraza la Kisheria la Urusi Latetea Mashahidi wa Yehova 26
Amkeni!—1998
g98 11/22 uku. 2

Ukurasa wa 2

Je, Haki za Kibinadamu Zitawahi Kupatikana kwa Wote? 3-14

Kwa mamilioni ya watu duniani pote, ukiukaji wa haki za kibinadamu, kama vile ubaguzi, kutenda watoto vibaya, na utumwa, ni mambo yatendekayo kila siku. Je, haki za kibinadamu kwa wote zitawahi kuwa uhalisi wa ulimwenguni pote?

Amri ya Nantes—Je, Ilikuwa Mkataba wa Uvumiliano? 19

Miaka 400 iliyopita, mfalme wa Ufaransa alitia sahihi hati ambayo ingevumilia dini. Lakini ni nini kinachoupata uhuru wa kidini nchini Ufaransa leo?

Baraza la Kisheria la Urusi Latetea Mashahidi wa Yehova 26

Soma juu ya mkataa uliofikiwa na baraza moja la kisheria kuhusu itikadi na utendaji wa Mashahidi wa Yehova.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

© Cliché Bibliothèque Nationale de France, Paris

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki