Faharisi ya Buku la 79 la Amkeni!
AFYA NA DAWA
Acha Kuvuta Sigareti, 12/8
Kemikali na Afya Yako, 12/22
Kidingapopo—Homa Isababishwayo na Kuumwa, 7/22
Kuacha Kugugumiza! 9/22
Kudhibiti Mkazo, 3/22
Kujitibu, 7/8
Kukataa Damu, 9/22
Majeraha ya Mkazo wa Kurudia-Rudia, 12/22
Maji na Afya Yako, 3/22
Maradhi ya Alzheimer, 9/22
Mshtuko wa Akili, 2/8
Muungano Hatari (TB na HIV), 7/8
Nawa Mikono na Uipanguse, 11/22
Tiba ya Meno Yaliyoota Vibaya, 4/8
UKIMWI, 11/8
Upasuaji Bila Damu, 8/22, 12/8
Upasuaji Bila Kisu Kidogo cha Kupasulia, 2/22
Uyabisi wa Misuli, 6/8
Wewe Husaga Meno Yako? 3/22
Woga, 7/22
DINI
Amri ya Nantes—Je, Ilikuwa Mkataba wa Uvumiliano? 11/22
Badiliko la Umbo—Je, Kuona Ni Kuamini? 6/8
Hifadhi ya Nyaraka za Siri Yafunguliwa (Baraza la Kuhukumu Wazushi), 12/8
Je, Kaburi la Kristo Liko Japani? 4/8
Jina la Mungu Lapamba Usanifuujenzi wa Cheki, 4/22
Kanisa Katoliki na Yale Maangamizi Makubwa, 10/22
Malkia Mwenye Busara Alimshinda Askofu Mwenye Hila, 11/8
Marekebisho ya Uingereza, 8/22
Mauzo ya Kidini (Italia), 3/8
“Pengo Linalopanuka Kati ya Makasisi na Watu wa Kawaida,” 1/8
Poland, 10/8
Sanda ya Turin—Je, Ni Nguo ya Yesu ya Maziko? 12/22
Tafsiri ya Biblia ya Mapema, 5/8
Vifaa vya Mnyanyaso Mkatili, 4/8
Vijana Hupendezwa na Dini? 8/8
Wakristo na Mfumo wa Tabaka, 3/8
Yesu—Wakati Huo na Sasa, 12/8
MABARA NA WATU
Amaranth—Chakula Kutoka kwa Waazteki, 5/22
Brasília (Brazili), 9/8
Calcutta, 7/8
Daraja Lililoitwa Vasco da Gama (Ureno), 11/8
Dini Katika Poland ya Leo, 10/8
Ekuado, 2/8
Fumbo la Dolmen (Ulaya), 5/8
Georgia—Urithi wa Kale, 1/22
Jina la Mungu Lapamba Usanifuujenzi wa Cheki, 4/22
Kisiwa Kidogo, Uwanja wa Ndege Wenye Shughuli Nyingi (Hong Kong), 9/8
Kitenge Chenye Matumizi Mengi (Afrika), 1/22
Kupamba Bakora (Uingereza), 3/22
Kushona Sweta—Katika Patagonia, 5/8
Langilangi—Kutoka Kisiwa cha Manukato (Mayotte), 6/22
Mambo Mawili juu ya Msiba (Mexico), 10/8
Mashetani Wacheza-Dansi wa Yare (Venezuela), 2/8
Milima ya Mwezi (Kenya), 2/8
Muziki wa Kilatini, 8/8
Ni Nini Kilichowapata Wale Waapache? 3/8
Njia Tano za Kuendeleza Ubora wa Maisha (nchi zinazositawi), 5/22
Paradiso ya Aina Tofauti (Nyanda za nyasi za Kanada), 8/8
“Reli ya Kichaa” ya Afrika Mashariki (reli), 9/22
Visiwa Vinavyojengwa (Hawaii), 5/22
Wainka, 1/8
Wakristo na Mfumo wa Tabaka (India), 3/8
Ziwa Viktoria (Afrika), 11/22
MAHUSIANO YA KIBINADAMU
Kuacha Kugugumiza! 9/22
Upatanisho wa Kipekee, 2/22
Watoto Waondokapo Nyumbani, 1/22
MAMBO MENGINE
Abadoni, 6/8
Barabara—Njia Kuu za Ustaarabu, 12/22
Dhahabu—Ule Uvutio, 9/22
Epuka Matatizo ya Likizo, 6/22
Fumbo la William Shakespeare, 8/8
Funga Mkanda wa Usalama, 1/8
Gutenberg, 11/8
Je, Reli Itadumu? (reli), 10/8
Je, Wajua? 2/8, 4/8, 6/8, 8/8, 10/8, 12/8
Kucha, 5/22
Kurudi kwa Jumba la Maonyesho la Globe, 6/8
Ladha, 8/22
Lugha Ambayo Waiona (lugha ya ishara), 9/8
Madaraja, 11/8
Maisha Yenye Usalama wa Kudumu, 10/8
Mbona Machozi Yote Hayo?, 6/8
Msiba wa Barafu (Kanada, Marekani), 8/22
Niliokoka Anguko la Ndege Nambari 801, 3/22
Televisheni Ni Hatari Jinsi Gani? 6/22
Tokea Maziwa Hadi Feta, 7/22
Tulitoroka Mabomu—Miaka 50 Baadaye! 3/8
“Upendo Haushindwi Kamwe”—Je, Wewe Hushindwa Kuuonyesha? 5/8
Usanifu-Ramani, 10/22
Vitabu Vidogo Sana, 4/22
Wakati Kufa Kumaanishapo Kufa, 7/8
Watunga-Mashairi wa Zamani, 2/8
Walinzi wa Minara ya Taa, 2/22
MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
Haki za Kibinadamu, 11/22
Hangaiko la Habari, 1/8
Je, Tunabadili Halihewa Yetu? 5/22
Je, Watu Wote Watapata Kupendana? 10/22
Karne ya Ukatili, 8/8
Kujiua—Pigo la Vijana, 9/8
Magendo (Ulaya), 10/8
Magenge, 4/22
Matangazo ya Biashara, 8/22
Misitu ya Mvua, 5/8
Sababu kwa Nini Nyota Haziwezi Kuonekana, 4/22
Tumaini kwa Vijana wa Leo, 9/8
Uhalifu, 2/22
Uhalifu wa Vijana, 11/8
Umaskini, 6/8
Wanawake, 4/8
MAONI YA BIBLIA
Elimu, 3/8
Je, Msiba wa Anga Utaangamiza Ulimwengu Wetu? 12/8
Je, Muungano wa Kikristo Huruhusu Kuwe na Unamna-Namna? 2/8
Je, Roho Waovu Ni Halisi? 4/8
Je, Tumlaumu Shetani kwa Dhambi Zetu? 9/8
Je, Useja wa Kidini Ni Takwa kwa Wahudumu Wakristo? 6/8
Kuchezeana Kimapenzi, 7/8
Mavazi na Mapambo, 8/8
Mwaka wa 2000, 5/8
Thamani ya Faragha, 10/8
Ukatili kwa Wanyama, 11/8
Unaweza Kumhofuje Mungu wa Upendo? 1/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Amri ya Nantes—Je, Ilikuwa Mkataba wa Uvumiliano? (Ufaransa), 11/22
Baraza la Kisheria la Urusi Latetea Mashahidi wa Yehova, 11/22
Hakukata Tamaa (M. Tapio), 10/22
Mahakama ya Ulaya Yasahihisha Ukiukwaji wa Sheria, 1/8
Mambo Mawili juu ya Msiba (Kimbunga Pauline), 10/8
Msamaha wa Mkubwa wa Polisi, 6/22
“Njia ya Mungu ya Maisha” Mikusanyiko, 6/8
Waandishi wa Habari wa Urusi Wasifu Mashahidi wa Yehova, 2/22
Wajasiri Licha ya Hatari ya Wanazi, 7/8
MASIMULIZI YA MAISHA
Ahadi Ambayo Nimeazimia Kutimiza (M. Tsiboulski), 6/22
Jinsi Ninavyokabiliana na Kugugumiza (S. Sievers), 1/22
Kupata Faraja Katika “Bonde la Uvuli wa Mauti” (B. Schweizer), 4/8
Kupigania Kwetu Haki ya Kuhubiri (G. Marsh), 4/22
Kutoka Kuwa Shujaa wa Vita Hadi Kuwa Askari-Jeshi wa Kristo (L. Lolliot), 12/22
Nilichochewa na Uaminifu-Mshikamanifu wa Familia Yangu kwa Mungu (H. Henschel), 2/22
Safari Ndefu Kutoka Uhai na Kifo Katika Kambodia (W. Meas), 5/8
‘Twaishi Si kwa Ajili Yetu Wenyewe Tena’ (J. Johansson), 10/22
Uchaguzi Wangu Kati ya Baba Wawili, 6/8
Upendo Wangu kwa Dunia Utatoshelezwa Milele (D. Connelly), 8/22
SAYANSI
Fahari za Kimbingu, 12/8
Mageuzi Si Jambo la Hakika, 8/8
Mashimo Meusi, 7/22
Roboti Yachunguza Mihiri, 6/22
Sayansi Yaweza Kutumainiwa Kadiri Gani? 3/8
Wanadamu—Je, Wao Ni Wanyama tu wa Hali ya Juu? 6/22
UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
Hekima na Manufaa za Kupanga Urithi wa Mali, 12/8
VIJANA HUULIZA
Fahari ya Jamii, 2/22
Kufanya Vizuri Zaidi Shuleni, 3/22
Kusongwa Sana na Rafiki, 4/22
Kwa Nini Bila Wazazi? 11/22
Kwa Nini Siwezi Kukaza Fikira? 7/22
Namna Gani Asiponipenda? 6/22
Namna Gani Ikiwa Wazazi Wangu Wapinga Ndoa Yangu? 1/22
Namna ya Kuishi Bila Wazazi, 12/22
Naweza Kuchumaje Pesa? 8/22
Naweza Kufanyaje Ukweli Uwe Mali Yangu Mwenyewe? 10/22
Naweza Kukazaje Fikira? 9/22
Violezo vya Kuigwa, 5/22
WANYAMA NA MIMEA
Cock-of-the-Rock, 9/22
Dolfini wa Irrawaddy, 4/8
Huwalinda Kondoo Dhidi ya Mbwa-Mwitu (llama), 8/22
Jenny Wren—Ndege Mdogo, Mwenye Sauti Kubwa, 9/8
Kurudi kwa Yule Ndege Mkubwa Mweupe (albatross), 5/22
Kuwatazama Ndege, 7/8
Langilangi (mti), 6/22
Misitu ya Mvua, 5/8
Ndege Mwenye Kope, 1/8
Neem (mti), 2/22
Nyuki Waliangua Vifaranga! 5/22
Okidi Imo Hatarini? 10/8
Pembe za Tembo (gharama kwa tembo), 3/22
Puma, 4/22
Sokwe wa Mlimani, 1/22
Umaridadi wa Mbao, 11/8
Uwongo Kuhusu Nyoka, 10/22
Vifaru Mayatima wa Kenya, 7/22
Vito vya Anga la Kiafrika (chozi), 8/8
Yucca Usio na Miiba, 1/22