Ukurasa wa Pili
Mwenzi Anapokosa Uaminifu 3-12
Jambo hilo huathirije wale wanaohusika? Je, mtu apaswa kujaribu kupatana na mwenzi mzinzi? Je, talaka ni chaguo la hekima?
Mlima Sinai—Kito Kilicho Nyikani 16
Zuru Mlima Sinai wa kisasa, yawezekana ni mlima uleule ambao Musa alipanda.
Twapelekwa Uhamishoni Siberia! 20
Soma kuhusu familia iliyookoka miaka mingi ya utekwa katika Siberia, na ujifunze jinsi imani yao katika Mungu ilivyowategemeza.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jalada: Superstock
Pictorial Archive (Near Eastern History) Est.