Ukurasa wa Pili
Je, Mtindo Wako wa Maisha Unakuua? 3-11
Afya nzuri ya kimwili, kiakili, na kiroho yaweza kuwa msingi wa maisha yenye furaha na marefu zaidi. Mtindo wako wa maisha unakuathirije?
Sydney—Jiji la Bandari Lenye Pilikapilika 14
Nahodha Cook hakuwa na wakati wa kuthamini kikweli ghuba iliyokuja kuwa Bandari ya Sydney. Lakini sasa kuna sababu nzuri zinazoweza kukufanya utake kuzuru Sydney, Australia.
Ewe Mpenda-Jua—Linda Ngozi Yako! 22
Ngozi ni sehemu ya mwili iliyo muhimu inayohitaji kulindwa pia. Soma uone kwa nini iko hivyo, na ujifunze namna ya kuwa mwenye busara unapokuwa kwenye jua.
[Picha katika ukurasa wa 2]
By courtesy of Australian Archives, Canberra, A.C.T.